GOOGLE VISITOR EXPERIENCE
Huddle ni mfumo wa kuunganisha jamii. Hudhuria matukio, warsha na mazungumzo yanayoandaliwa na Google, vikundi vya jamii za eneo husika pamoja na mashirika yasiyo ya faida. Je, ungependa kuweka nafasi katika Huddle mahususi kwa tukio lako? Huenda unatimiza masharti ikiwa uko katika kikundi cha jamii ya eneo husika au kwenye shirika lisilo la faida.
location_on
Angalia kwenye ramani
– Date NaN