Google Visitor Experience

Duka la Muda

The Village Market

The Village Market is passionate about the power of "small." It exists to uplift local entrepreneurs, ensuring their brands are not just seen but valued, patronized, and celebrated. Founded by Dr. Key Hallmon, the organization believes that when small businesses thrive, communities flourish, leading to a legacy of economic empowerment.

Visit website open_in_new

Duka la Muda ni duka la rejareja ambapo watengenezaji katika eneo hilo na biashara ndogo huonyesha bidhaa zao kwa majirani, wageni na WanaGoogle pia. Likijumuisha chaguo zinazobadilika za bidhaa, Duka la Muda ni njia nzuri ya kugundua na kusaidia biashara katika jamii ya eneo la hilo.
location_on
Angalia kwenye ramani