Google Visitor Experience
The Cafe @ Mountain View ni huduma ya kwanza ya Google ya kuuza chakula kwa umma. Ukiwa unauza kifungua kinywa, chakula cha mchana, kahawa na chai, mkahawa unatoa ladha ya kipekee ya Google kukiwa na viti vya kawaida vya ndani na barazani. Wapishi wetu wanatumia viungo vinavyopatikana kwa kulinda mazingira, kutoka katika maeneo ya karibu ili kutayarisha menyu inayofaa kila msimu ambayo huangazia ubunifu na ladha za kipekee.
Sanaa
Farm to Table Roadtrip iliyochorwa na John Patrick Thomas, mwaka 2023
Michoro mitatu ya ukutani ya Farm to Table Roadtrip iliyochorwa na John Patrick Thomas inayoonyesha baadhi ya hatua za kutayarisha mlo kamili.
Cafe @ Mountain View
Kuleta jamii pamoja kupitia vyakula vinavyopatikana kwa njia endelevu katika mkahawa wetu mpya wa umma.
Cafe @ Mountain View
Kuleta jamii pamoja kupitia vyakula vinavyopatikana kwa njia endelevu katika mkahawa wetu mpya wa umma.
location_on
Angalia kwenye ramani
– Date NaN