Ni aina gani ya mimea ya asili iliyo karibu na jengo?
modal-ecology
Ni aina gani ya mimea ya asili iliyo karibu na jengo?
Utapata mimea ya asili inayowafaa wadudu wanaochavua, kama vile maua ya kipepeo (milkweed), maua ya yarrow, mpopi wa California na sagebrush ya pwani. Sehemu ya mandhari imeundwa ili kuwasaidia idadi ya vipepeo wakubwa wa magharibi, kwa kutumia mbinu bora inayopatikana na kisayansi kuunda mchanganyiko sahihi wa mimea ya maua ya kipepeo (milkweed), inayowasaidia viwavi na mayai ya vipepeo wa magharibi na maua, ambayo huwapatia vipepeo wanaopita nguvu katika safari yao ya uhamaji.
https://lh3.googleusercontent.com/UgCM3gLei56GgzN53EqJ88Z3otCkZBku7vpJonNGeFyGyMwmrdhmvRRcOgfc_bdXLgGApDh3f8FZQ-97YItjwH8F9MhI6pYZZtOd7jsPz-3H62DaUA
Ikolojia ya eneo katika Gradient Canopy