Panga Ziara Yako
Jumatatu hadi Jumamosi
Jumapili
Jinsi ya kufika huku
Mountain View imekuwa nyumbani kwa Google kwa zaidi ya miongo miwili, kwa hivyo haishangazi kwamba Google Visitor Experience ya kwanza kabisa inapatikana hapa.
Kuna njia nyingi za kufika Google Visitor Experience, iwe unaendesha gari, unatumia usafiri wa umma au unaendesha baiskeli yako.
Transportation Tips
Kuendesha na kuegesha
Usafiri wa Umma
Maegesho ya Baiskeli
Usafiri wa pamoja
Free parking is available at:
- Shoreline Amphitheatre Parking Lot C (directions) is located north of the Google Visitor Experience at 1 Amphitheatre Pkwy (~4 minute walk). Lot C is closed on concert days, so we recommend parking at Alta Garage on these days.
- Alta Garage (directions) is located at 1001 Alta Ave (~8 minute walk). EV charging is available at Alta Garage.
- ADA parking is available at both Lot C and Alta Garage. Additionally, an ADA-accessible drop off zone is located at the western building entrance in front of the Google Store.
Take a virtual look around
The below video was created using Google Street View technology, and offers a look inside the Google Store, Cafe, and Huddle. You can also visit Google Maps to explore Street View of the public spaces and art.

Take a virtual look around
Maswali yako, yamejibiwa
Pata majibu ya maswali yanayoulizwa sana kuhusu Google Visitor Experience.
Huhitaji kulipa unapotembelea Google Visitor Experience! Unaweza kugundua sehemu hizi wakati wowote wa saa za kazi na wakati wa matukio katika Google Store, huhitaji kulipa unapotembelea Huddle na Plaza. Ukipenda, unaweza kununua chakula na vinywaji katika Cafe, bidhaa kwenye Google Store na katika Duka la Muda.
Ndiyo, unaweza kuleta kinywaji kisicho na kileo na chakula chako ili ufurahie katika uwanda wa nje au Charleston Park iliyo karibu. Tafadhali kumbuka kuwa viti vya ndani na vya nje vya baraza katika Google Visitor Experience vimetengwa kutumiwa na wanaonunua vyakula na vinywaji kwenye Cafe.
Hapana! Unaweza kututembelea wakati wowote wa saa zetu za kazi. Ikiwa unahudhuria tukio, tunapendekeza ujibu mwaliko kwa kuwa baadhi ya matukio yana nafasi chache.
Tunachukulia mizio ya vyakula kwa uzito sana na tungependa ujihisi salama unapokula huku. Tunatumia majina na maelezo yenye mtindo wa mikahawa ili kutoa maelezo kuhusu viungo vikuu na tunafurahia kujibu maswali ya ziada kuhusu viungo pamoja na kutoa lebo za bidhaa ili ukague unapoomba. Tunapika kutoka mwanzo jikoni na kushughulikia vyakula ambavyo ni vyanzo vya mizio yote kuu. Menyu zetu hubadilika mara kwa mara na watengenezaji wanaweza kubadilisha uundaji wa bidhaa bila sisi kujua. Hivyo, wapishi na wasimamizi wetu ndio chanzo bora cha maelezo ya wakati halisi kuhusu kilichotumika kupika katika siku husika. Tafadhali mfahamishe mwanatimu ikiwa una maswali yoyote na atafurahi kumfahamisha msimamizi atakayeweza kukusaidia.
Ndiyo! Kuna mteremko wa kushukia au kupandia katika Google Visitor Experience kutoka lango la magharibi na milango inaweza kutumiwa na watu wenye ulemavu kwa mujibu wa ADA.
Wanyama wa huduma wanaruhusiwa katika Cafe na Huddle. Mbwa wanaruhusiwa kwenye Google Store na uwanda wa nje.
Google Visitor Experience inalenga kuleta jumuiya, wageni, na WanaGoogle pamoja kupitia maeneo na mipango inayobuniwa kukuza uhusiano. Ingawa hakuna kituo cha kawaida cha wageni, wageni watafurahia Google Store na maeneo mengine ambayo yanaangazia chapa ya Google kupitia bidhaa na matukio.
Ingawa hakuna ziara za kuelekezwa katika Google Visitor Experience, unakaribishwa kugundua vistawishi vya umma wakati wowote wa saa za kazi na unaweza kurejelea kipeperushi cha ziara za kujielekeza.
Ndiyo! Kuna Wi-Fi ya umma inayopatikana katika Huddle, Cafe na Google Store.
Kuna maegesho yasiyolipiwa katika eneo la Shoreline Amphitheatre Parking Lot C na Alta Garage. Sogeza hadi sehemu ya Kufika huku ili upate maelezo zaidi kuhusu maeneo ya kuegesha.
Unaweza kutimiza masharti ya kuweka nafasi ya tukio ya Huddle ikiwa wewe ni kikundi cha jamii au shirika lisilo la faida. Tafadhali rejelea Ukurasa wa kuweka miadi wa Huddle ili upate maelezo zaidi.
Wasiliana nasi moja kwa moja kupitia visit@google.com