Huddle ni mfumo wa kuratibu shughuli, mazungumzo na mafunzo ya jamii. Hutoa maeneo yanayoweza kuwekewa nafasi na vikundi vya jamii pamoja na mashirika yasiyo ya faida ili kufanya matukio (lakini si kwa matukio ya binafsi ya jamii).
Unakaribishwa uweke nafasi
Mipangilio inaweza kubadilika
Nafasi ya Huddle ya matukio huchukua hadi watu 80. Inaweza kuwekwa katika mipangilio mbalimbali, ikiwa ni pamoja na wasilisho, warsha na viti vya mtindo wa kumbi.
Mitindo ya muundo inaweza kubadilka
arrow_forward
Chumba cha Mikutano
arrow_forward
Darasa
arrow_forward
Mazingira Mseto
arrow_forward
Ukumbi
arrow_forward
Warsha
Huddle booking requirements
Inapatikana katika Bay Area
Vikundi vya jamii ya eneo husika
Mashirika Yasiyo ya Faida
Hakuna matukio ya biashara
Hakuna matukio binafsi
Mashirika yanayohusishwa na shughuli endelevu, za kijamii, za kielimu, za kitamaduni, za uvumbuzi au za hisani, kama vile mikutano, warsha na matukio, yanaweza kutuma ombi la kuweka nafasi katika Huddle, pamoja na yaliyo hapo juu.
Booking request form
Maswali Yanayoulizwa Sana kuhusu uwekaji nafasi
Ninawezaje kuweka nafasi?
expand_more
Vikundi vya jamii na mashirika yasiyo ya faida yanakaribishwa yajaze fomu ya maswali kisha timu yetu itawasiliana kuhusu upatikanaji.
Tukio langu ni la wiki ijayo. Je, mnaweza kunipatia nafasi?
expand_more
Ili kuhakikisha matukio yote yanafanyika, tunaomba arifa ya mapema ya angalau wiki mbili ili kupanga na kuratibu. Matukio changamano zaidi kwa kawaida huhitaji siku 30 za upangaji wa mapema. Baada ya kutuma fomu ya maswali, timu ya Huddle inaweza kushirikiana katika upatikanaji wa nafasi kulingana na mahitaji ya tukio.
Je, huduma ya kuandaa chakula inapatikana?
expand_more
Yes, catering is available for a paid fee. Alcohol is not permitted at the Huddle. If you’d like to enjoy a bite before or after your event, the Cafe @ Mountain View is located next door to the Huddle and offers a group menu. Submit an inquiry form, and we can help determine the best plan for your attendees.
Uwezo wa teknolojia katika nafasi ni wa kiwango kipi?
expand_more
Huddle ina teknolojia
na zana zilizo rahisi kutumia ili kukidhi mahitaji yako, ikiwa ni pamoja na:
• Skrini kuu ya projekta ya kuwasilisha yenye inchi 98
• Spika
• Kipaza sauti cha sauti ya besi
• Maikrofoni
• Taa zilizofungwa kwenye njia moja unazoweza kuwekea mipangilio
• Adapta ya HDMI
• Ubao
• Vifaa vya kuwasaidia walio na matatizo ya kusikia
Je, shirika langu linaweza kuweka nafasi ya matukio yanayojirudia?
expand_more
Unaweza pia kuchagua mipango inayojirudia, kulingana na upatikanaji. Tafadhali tuma fomu ya maswali kisha timu yetu itawasiliana nawe.
Je, kuna gharama ya kuweka nafasi kwenye Huddle?
expand_more
Hakuna ada ya kukodi ili utumie nafasi zilizopo kwenye Huddle na gharama za huduma nyingine za tukio zitabainishwa kulingana na hali mahususi.
Nina swali. Ninaweza kuwasiliana na nani?
expand_more
Unaweza kututumia barua pepe kupitia huddlebooking@google.com.