Karibu kwenye Google Visitor Experience

Wasiliana, gundua na uvumbue udadisi wako

Mountain View, California

The Google Visitor Experience is a new destination for everyone — neighbors, visitors, and Googlers — at our Gradient Canopy office in Mountain View.

Connect with friends at the cafe, attend a community event at the Huddle, explore our hardware products and services at the Google Store, support local businesses at the Pop-Up Shop, and enjoy art and events on the plaza.

Fahamu mahali uliko

Pata maelezo kuhusu mahali ambako Huddle, Cafe @ Mountain View, Duka la Muda, Google Store na sanaa vinapatikana kwenye Google Visitor Experience.

Gundua manufaa unayoweza kupata

– Date NaN

Panga Ziara Yako

Wasiliana nasi
katika Mountain View

Pata maelezo zaidi kuhusu saa za kazi, maegesho pamoja na Maswali Yanayoulizwa Sana.

We’re designing places where local communities and Google can thrive

Mountain View imekuwa makao ya Google kwa zaidi ya miongo miwili na jamii ya Mountain View ndiyo kitovu cha Google Visitor Experience.

Ni lengo letu kusaidia mashirika ya jamii ya eneo husika, biashara ndogo, wasanii, mashirika yasiyo ya faida na eneo la Mountain View kwa ujumla. Kupitia mipango na nafasi mbalimbali zilizobuniwa kukuza uhusiano, tunalenga kuboresha hali ya jamii kwa kila mtu anayetembelea eneo.